Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,285
- 108,302
Hahah Harbin (nasikia kuna baridi hatari) sijafika mkuu, niliishia Shenyang tu kuna jamaa wakati huo alikuwa anasoma hapo...
Nimeishi shenyang sana kaka ,, hata week yote nilikuwa huko liaoning , this time nataka niende harbin nikacheki ice sculptures... wew ni mdau najua hahaha .. shenyang has raised me .. pande za Daoyi

