Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,881
- 147,438
Hahahhahaha mwenzangu sijatoka na yamemwagika[emoji23]Ila maziwa [emoji23][emoji23] hapo ondoka kidogo ukafate sukari urudi kama hujakuta yako robo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahhahaha mwenzangu sijatoka na yamemwagika[emoji23]Ila maziwa [emoji23][emoji23] hapo ondoka kidogo ukafate sukari urudi kama hujakuta yako robo
Had njaa imeanza ghafla lol. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Nibebee mahind mabichi, maboga, na karanga.
Sorry maamHivi Wige kila kitu ni lazima ukimaanishe? Unatutengulia udhu bana… leo ijumaa karim
[emoji23][emoji23]Had njaa imeanza ghafla lol. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Selfika kwanza ndio nitapokea hiyo ‘sorrySorry maam
Elewa midadi tena
Si unajua eeh
Nibebee ntakua napika futari. [emoji39][emoji39][emoji39]
Wallah njaa imeanza kuuma.
Maziwa hayana adabu 🤣
[emoji23][emoji23]Totooo chuchuuuu ajigijigijiiii [emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]
Duh nimecheka moooChristine1 we bishoo sana.
Shape lenyeewe uguu sasa ndyo ugonjwa wanguNa suruali ya kuchanika kama imeliwa na panya[emoji23]View attachment 2230017
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Mungu na Shetani huwa wanakutana na kupiga stori; na hata kupanga la kufanya? Hii huwa sielewi kabisa.And the LORD said unto Satan, Hast thou considered my servant Job, that there is none like him in the earth, a perfect and an upright man, one that feareth God, and escheweth evil? and still he holdeth fast his integrity, although thou movedst me against him, to destroy him without cause.
@Depal yasieSelfika kwanza ndio nitapokea hiyo ‘sorry
Ukiangalia Ufunuo 12 : 7 - 12 ( Inajieleza vizuri sana, Shetani na malaika hawana tena nafasi mbinguni ), biashara ya Shetani kwenda na umbeya ilizimwa tu pale baada ya Yesu Kristo kumwaga damu ( damu inaneyo mema ) na baada ya hilo tukio shetani hakuwa na nafasi tena mbinguni.Mungu na Shetani huwa wanakutana na kupiga stori; na hata kupanga la kufanya? Hii huwa sielewi kabisa.
Msaada kidogo hapa Baba Mchungaji [emoji1545]
Avatar yako hii hahahhahahahahahhahhaha