Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,844
- 16,095
Wee ndo huyu eeeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona sasa mambo yako,? Na hapo n twitter. LolView attachment 2229985
Acc ya zaman sana ii
Wee ndo huyu eeeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona sasa mambo yako,? Na hapo n twitter. LolView attachment 2229985
Mwenyekiti Leo endeleeni mi niwe ndugu mtazamaji, kwanza nimemiss kelsea, aanze yeye.nipo katibu karibu sana!!..kikao kilishaanza ila sio live . Bora umekuja katibu uanze kujilipua sasa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupac wa Buza? Khaaaah.Unajua alivaa hilo koti katika muktadha gani? Labda alikuwa anakwenda/anatoka ofisini au kwenye mishe za pesa.
Punguza bana kuwakandika majamaa. Mpaka umetufukuzia Mr. Big na pigo zake kama Tupak. Hufai [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji51][emoji51][emoji51]View attachment 2229976
Kwa kweli kitambo sijaweka yangu[emoji3590]
Hello wapendwa wa kusefikaaa[emoji18]
Imebidi niitafute picha uliyoitolea povu hivi jamanii mbona nguo nzuri kubwa hadi rahaWee kijana huna mavazi? Au umeishiwa?
Mkaka handsome anavaa manguo ya wakubwa, mbaya zaidi ya kizee, hilo koti ulipewa urithi na babu yako?
Na ukapiga picha? Real? Yaan nikiona mkaka ana pigo za kiwaki nahemkwa na kukasirika, mnakwama wapi yaan?
Ukiweka picha tena hapa, weka ukiwa casual, hayo masuti yako waachie wazee huko msieeeeew.
Yaan kabisaaa uko huru unapuyanga mtaani hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukapiga na picha juu, jomoneeee mie sitaki khaaaaaah. Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana.Acc ya zaman sana ii
Karibu basi kwanza,Bestie nini shida
Kalale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupac wa Buza? Khaaaah.
Sasa km ni Official, sio kwa mtoko ulee, yaan yuko rough mnooo.
Khaaaah. Nguo hazina ushirikiano kabisaa. Lol
Totooo chuchuuuu ajigijigijiiii 😁😁🤭🤭Jmn
Mlale salamaView attachment 2229928
Ujaangalia vizuri huo mkono si wangu wa mpiga picha😜[emoji23][emoji23][emoji23][emoji51][emoji51][emoji51]
Asante dada rangi mbili
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaah hivi mko serious? We unaona anaendana na vile alivyovaa?Imebidi niitafute picha uliyoitolea povu hivi jamanii mbona nguo nzuri kubwa hadi raha
Madogo wanapita kwenye nyayo zako[emoji91][emoji1787][emoji1787]Nyani mzee mie!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ujaangalia vizuri huo mkono si wangu wa mpiga picha[emoji12]
Mbna hapo mbele pametuna mnooo? Hujabania vizuri kwa boxer? Au mzigo mkubwa sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbavu nene.View attachment 2229991
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo nataka kuliangusha hapa.
We unataka Mwanaume avae nguo imshike mwili kwani wana Wowowo vile ndio vizuri mpaka nimemtamanii yaani😜😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaah hivi mko serious? We unaona anaendana na vile alivyovaa?
Watachanika msamba!! 😂Madogo wanapita kwenye nyayo zako[emoji91][emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Coca tunamtak Kaka big umemfukuza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tupac wa Buza? Khaaaah.
Sasa km ni Official, sio kwa mtoko ulee, yaan yuko rough mnooo.
Khaaaah. Nguo hazina ushirikiano kabisaa. Lol
Ma ustazati huwa ni 🔥🔥🔥 kuna mmoja nimemuacha mahala hapo kidogo anilaze moro sema shetani kama kashindwaa, maombi ya mamaaa pastaaa sio mchezoo ... na ameleta tafrani kazini na staff mwenzangu ... alikuwa kaanza chukua namba ila mie ndio nilikuwa nimepewa hela za kuhudumia binti akajua mie ndio don sasa jamaa nimeishia kumcheka yeye katupwa mwanza mie nikaja na chombo ila nimechukua namba tu 🫣🫣🫣Umependeza sana mtoto mzuri. Una midomo amazing.