Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Hata Elimu ya Dini ya Kiislam nafundisha tu flesh hapo ndio penyewe kabisaa 😀😀😀 Biology, Physics, Hesabu ipo deal kidogo nikija hawato anza mizunguko mingi 😀😀😀😀 Nimekumbuka kipindi napigidha pindi pale Kinondoni Muslima pindi la Hesabu nomaa sanaaNjoo kwa Hm tu tena Waislamu wao wana EDK - Elimu Ya Dini ya Kiislam ila bible knowledge hakuna karibu sana!