Selfika na JF: Snap it. Show it

Yeah nafikiri alimaliza 2015, nilimfahamia kule celebrities walikuwa wanamdiscuss.

Kwa hiyo mnakoma na kinge cha wasomi? Kina "kitumbo" na "remember" si wanapata tabu? J lo naye ana mdomo
wakianza kuongea R na F wachache ndo tunao tamba, na mie huwa navimbaa sana.


Kitumbo nae kasoma bhana, tena IT,


Remember aligombana na M hiyo siku, ikabidi modes wetu wam bann kwa 7days, ila yule ana matusi khaaaah,

Alimuambiaa R siku hiyo nawee bahati yako danga likakupeleka ulaya ukasome, vingnevyo ungekua nyoka wa tandika,


R akamjibu naweee tafuta danga akupeleke hata hapo Kenya km ni rahis, utabaki kubwatuka hovyo public ili ule, niache huna hadhi ya ku battle na mie, tafuta mbumbumbu wenzio.


Hata njaa iniume vipi, nikiwa chimbo inakata. Woiiiiiiiiiih
 

Amplified eeh?
Kwa kupigwa kwake; sisi tumepona.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaa nenda kajifungie tu huko, uishibishe nafsi yako. Hukawii kuvurugwa humu😁😁😁
Na vitabu vyangu pendwa kwenye bible ni ;

  1. Job
  2. Isaiah
  3. Ezekiel
  4. Jeremiah
  5. Amos
  6. Malachi
  7. John pamoja nyaraka zake tatu
  8. Revelation
  9. Jacob
  10. Judas
  11. Hebrew
Hizi ndio first eleven yangu

Sub huwa ni ;

  1. Joel
  2. Genesis
  3. Ephesians
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 

Nani huyo M aliyegombana na remember au anayejiita DC? Nyie remember anatoleaga wapi yale maneno yake jamani? Khaaa

Yeah kweli nimekumbuka kitumbo alisoma IT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…