Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,973
- 177,194
Hahaha...Naomba nije kuanza 4m 1 afu uwe rafik angu, niwe nakuletea vitu vitu.![]()
Hahaha...Naomba nije kuanza 4m 1 afu uwe rafik angu, niwe nakuletea vitu vitu.![]()
Oh kumbe unaye..Hizo anafanya dada wa kazi hana kazi nyingi!!
Utasutwa bestMama malezi kwa ubuyuuu sikuwezi, rafiki angu huyooo
Nipo hapa nachat nae tsup.
Afu anasema kuna mdau JF anatoa siri za chimbo, kumbe yupo karibu yake.
Na huwa anasoma kumbe.

😃😃😃Hehehe sawa
Wala sijawahiFainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Kabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!!🙆🙆🙆 kuna Ukabila mnoo mnoooo yani na figisu nyingi sana kutokana na ile majority kabila moja !! Kabila lenyewe sasa!!🤔🤔Unawish kuhamia mjini? Kaa hukohuko kwanza hadi arudi Mlebanon; atakufa kwa presha za mapedeshee huko alipo😁😁
Wataonyesha channel gani?Fainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Ah sawaWala sijawahi
Ndiyo nilikuwa nawaza nani F wa "kishua" afu anaimba. Maana lazima awe high class ili agombane na N. Sio kwa lile hips lake jamani





sema mie nawakubali R na F wana behave kisomi na smart, wanaonesha umuhimu wa kuwa na Elimu, ila R anajua kutetemesha, anatema yai had chimbo linatikisika, yaan kimalikia chake kimenyoooka mno, ndo raha ya kusoma majuu. 






Sina uhakika naona hapo chini startimes wameweka itaanza saa mojaWataonyesha channel gani?
Unawish kuhamia mjini? Kaa hukohuko kwanza hadi arudi Mlebanon; atakufa kwa presha za mapedeshee huko alipo![]()







Duuh vijijini changamoto napo sometimesKabisa aseeh ! Mie nataka potential areas hata mtu ukiwekeza na kufanya mambo yako panakubali sasa huku uwiiii!! Afu vijijini nuksi kweli ukianzisha biashara akaja mteja usipomkaribisha au kumsalimia kwa vernacular language itadodaa!!🙆🙆🙆 kuna Ukabila mnoo mnoooo yani!
Ila ving’amuzi jamani.. kama huna mtonyo wa kuweka vyote ni mtihani kweli kweliFainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Ooh sawaSina uhakika naona hapo chini startimes wameweka itaanza saa moja
Ila tutegemee local channels pia wataunga Kama clouds , Wasafi etc .





hawezi kunijua bhanaa,Hili shindano bado lipo kumbeFainali ya Miss Tanzania leo
Anne unangalia hii View attachment 2231561
Ah kweli kabisaIla ving’amuzi jamani.. kama huna mtonyo wa kuweka vyote ni mtihani kweli kweli