Selfika na JF: Snap it. Show it

Inaelekea ulikuwa unapiga sana vyombo SYB

miezi sita hujaonja mvinyo!unakaribia kuacha kabisa.

Unapenda mvinyo wa aina gani?white,Rosรจ au Red?
Ni kweli nilikuwa napiga sana vyombo. Na bia yangu ilikuwa ni hii: Dogfish 90. Yaani ukisikia wanasema bia tamu ndo hii bia inaimbwa sasa! Lainiiii, tamu na inakulewesha unajiona hivi hivi.

Nadhani nilikosea nilipoanza kuchanganya na hayo ma Absolut. Ikabidi tu nisalimu amri na kuacha....

Mvinyo ni whites na hasa hasa Chardonnay na penyewe ni mara moja moja sana. Naweza hata kukata mwaka mzima sijaonja. No big deal...
 
Bora ulivyoacha kunywa๐Ÿ˜

Lakni kuna maisha ni lazima mtu uyapitie ili ujifunze na kujua nini ni nini..

Natamani kuionja hiyo Dogfish 90 nithibitishe hicho unachokisifia ni kweli?๐Ÿ˜Ž

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ

Unachupa yako ya Chardonnay kutoka kwangu..siku ukifika misungwi nijuze chap..hallelujah
 
Itunze hiyo chupa binti...

Kuna siku tutainywa tu....

Tuombe uzima binti....

Yeah! Pombe siyo dili!

Been there done that
 
Ewaaaa
Itabidi niwapigepige msasa hawa watu ๐Ÿ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ