Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Screenshot_20220519-225331.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah inasikitisha
Mfano kwetu wajukuu wakubwa ndo wanaelewa ila hawajui kuongea .
Sisi wadogo ndo hatuelewi kitu wala kuongea .
Mimi nikifundishwa nasahau kabisa
Hata wewe hujui lugha yako ya mama? Kwa nini? Ni kukulia mijini au wazazi hawakutaka ujifunze? Imagine sasa watoto wenu na wajukuu zenu. Ndo kabisaaa hawatazikumbuka lugha zetu hizi.

Kuna wasiwasi mkubwa kuwa lugha nyingi zitakufa kufikia mwaka 2100 na kuna juhudi kubwa ya kuziandika na kuzirekodi kabla hazijafa. Serikali ya Marekani kupitia National Science Foundation wana mradi wa mamilioni ya dola kuhakikisha kuwa lugha zote ndogo ndogo na ambazo hazina nguvu za kiuchumi zinahifadhiwa kabla hazijafa.

Kuna wanaounga mkono kuwa acha tu zife ili (kwa mfano hapa Tanzania) tubakie na Kiingereza na Kiswahili (na zingine chache kubwa kubwa kama Kisukuma, Kichaga, Kihaya...) kwa sababu lugha hizi hazitusaidii cho chote mbali na kuwa chanzo cha utengano na ukosefu wa utaifa. Wengine (akina Ngugi wa Thiong'o) wanapinga kuwa lugha hizi ni utambulisho wa watu na zimebeba maarifa na falsafa ya maisha ya jamii husika na zinapokufa tunapoteza maarifa mengi mno...

Dunia inageuka kuwa kijiji na lugha zenye nguvu za kiuchumi ndiyo zitabaki. Pengine ni jambo jema. Pengine ni jambo baya.....
 
Ah sijui kabisa ... Ni kusalimia tu
Ah wazazi walikuwa wanaongea sema hatukufundishwa muda mwingi shule end of the day unajikuta hujui lugha kabisa .

Lugha ni urithi wetu ilipaswa tuweze kuongea hata kulelewa kwa kiasi . Hiki kizazi cha miaka hii hata uwaambie salimia kwa kilugha hawajui ni shikamoo tu kwenda mbele .

Kukulia mjini au sehemu tofauti na kabila lako pia inachangia mno kutojua lugha . Huku mpaka ukutane na ndugu ndo muongee tofauti na maisha ya vijijini ambapo watu wote wanaongea kilugha kwenda mbele .
 
Mayutongs nimeshaachana nayo sababu ya uzee. Sasa nimehamia kwenye tuvimbaumbau ila tule twenye vishundu vya kishikaji. Nina kamoja hapa kananipelekesha hatari. Mizagamuo non stop yaani dah! Sijui kama nitaweza kumenteini hii intensity. Nilikuwa nimezoea mayutongs mapole mavivu ila hapa mh! Ngoja tuone ila dalili zote za kumwaga manyanga naziona
poleeeeeeh.
 
Back
Top Bottom