Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,546
- 235,320
Huko huko ndiko Junia anakokuja kusoma.Usinipaishe mama Junia[emoji16][emoji16] mm mwalimu wa kujitolea vidudu huku mshahara hadi shule iamue[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwingine wapi boss ledi?Mwehhh!!! !! Sema tuna uhuru fulani hivi hapo tu! Huku kwingine Tafrani tupu!
Niichane tena eh ili paja litokeze nje au siyo [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haija chanika sana aaaah. Ilibidi paja njee.
Wee kaka bila kunitaja huridhiki eeeeh? Unawashwa sana ukiniona? Sio wa mfano ktk mambo yenu, tuheshimiane samahani sana, tena kuwa na adabu na uishikilie.Wapi wewe
Mboga saba kabisa
Ukiweka picha hapa ni mtafutano
Unang'aa kama jiwe la kito
Busara na hekima zimekujaa
Ungebeba kidumu
Akili zako zingekuwa fyatu
Kama pisi kali coca
Aje kwakweli kwa aunt yake [emoji2956]Huko huko ndiko Junia anakokuja kusoma.
Halafu nyie walimu mnapendwa,,,mnalea watoto ambao wameshikilia roho za wazazi.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Niko poa sana.Mzima kabisa
Hofu kwako
Ulie mbali
Na upeo wa macho yangu
Naomba gimbi 1 dea. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Ahsanteeeeeeh studiooo.Ukijifanya mjinga kidogo mbele ya watu utajifunza mambo mengi,kuhusu hao watu na tabia zao bila kutumia nguvu kubwa ambapo itakusaidia kujifunza zaidi namna ya kuishi na watu tofauti bila shari wala kelele,[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yani! Yani mwanafunzi akipendwa na mwalimu mnyamahanga weee mwalimu unafaidi sana!
Nina mabinti rafiki zangu form 1 na 3 wananileteaje vitu[emoji6]!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahYani hapa maji yameisha ka binti kanachokaje kuchota maji mtoni Huko vipindi vikiisha nawachukua form 3 ambao sio candidate class wakanichotee mie!![emoji12][emoji1787]!
Kuni wataleta waliofeli mid term tena asante umenikumbusha nilikua sijawapa adhabu![emoji23][emoji23]
Emoji umeizidishaHivi Leo ndyo tbt ehh[emoji5][emoji5]View attachment 2230426
Ndio shos!!!!Wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shos Mie sitaki kujichosha mkono mara zote kuchapa!!! Watachota Maji kwa zamu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
NdyoooooohNiichane tena eh ili paja litokeze nje au siyo [emoji2]
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ndyooooooh. Toa emoj bas nawee.Hivi Leo ndyo tbt ehh[emoji5][emoji5]View attachment 2230426
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] full ku enjoy yaan.Shos Mie sitaki kujichosha mkono mara zote kuchapa!!! Watachota Maji kwa zamu!
Weuweeeeeeeeeeeh.Ndio shos!!!!
Unataka kuangalia nini? Niambie IT nikusogezee emojEmoji umeizidisha
Saint Anne gari ya laki unusu imepatikana π π π π