Nakumbuka zamani za kale, nilikuwa naomba Mungu sitaki mwanamke mpole , nataka meanamke wa kumbadirisha tabia ( bangi hizi ) one day nikaingia casino moja nikavutiwa na mdada mmoja khaaa alikuwa kama kaumbwa nikasema laulaaa Mungu kajibia maombi kitu si ndio hiki.. ile ki gentleman nikamfata mtoto 😅😅😅 nikawa kauli mbili ya kwanza bei gani akageuka akakata jichooo kali hilo 😅😅 nikavunga kama hajanisikia nikamuambia nataka tu company 😅😅😅 au basi .. But wanawake wote wazuri na wanaume wote wazuri ila hadi upate wa aina yako hakuna mtu mmbaya ila kuna walio zidi excellence
Nilikuwa na jamaa yangu tumetoka nje tumekaa kwenye parking ya bar, si nikaona pisi mbili zimenyooka sana zimeagamia gari, nikasogea, manzi mmoja amenyooka sana, walikuwa wanavuta bangi, mmoja mweusi na mwingine mweupe, yule mweupe alikuwa mkali kinoma ana lafudhi ya Arusha, jamaa yangu kamuelewa mweusi tukasema tugawane.
Yule mweupe nahisi ni chotara sijui wa kizungu/mhindi, anaongea sana, anavuta bangi anapuliza moshi wote kwangu, mwenzangu kaanza kukagusa kale keusi kiuno kakaanza kulegea, huku mimi nakomaa na yule mweupe, huyo mweupe nikagundua ile gari ni yake Subaru Forester XT ina pua itakuwa turbo(nikasema hapa kazi ipo, waendesha subaru akili zao😂), yule manzi mweupe akaanza kumzingua jamaa yangu, kumbe yule mweupe anamsaga yule mweusi,sasa kale keupe kalikuwa kanapambania penzi lake nasikia kanasema "we dem unacheka nini, ingia kwenye gari".
Yule mweupe baada ya kuona jamaa anazidi kumlainisha baby yake ikabidi alianzishe, jamaa yangu akamlamba mtama akatulia mkono 😂 😂 😂 ,nikasogea nikamnyanyua alikuwa amelewa, nikaona leo sipati kitu, akawa analalama amemuumiza mkono.
Baadae waliingia garini nikafika dirishani nikawa namuelewesha aniachie hata namba, nilibaki kukariri plate number tu, hio subaru ilivyotoka hapo niliruka pembeni,nilibaki na nguo inanuka bangi tu, licha ya kufahamu ana tabia hio lakini uzuri wake ulikuwa ni 🔥🔥.
Huyu dada kwa jinsi alikuwa mkali nikaanza kuwaza hivi huyu hawezi badilika kabisa? nilijiuliza sana, alikuwa mzuri balaa.
Nilijishangaa sana mwenyewe.