Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli umevurugwa

Namuona joycewamoro
😅😅😅 Leo nimehamukia Cigar la cuba sijui lina nini kichwa kipo high sanaaa joyce mawowow una mkumbuka
B9618BD0-9652-40AB-868D-01A5B66D5DA1.jpeg
 
Nakumbuka zamani za kale, nilikuwa naomba Mungu sitaki mwanamke mpole , nataka meanamke wa kumbadirisha tabia ( bangi hizi ) one day nikaingia casino moja nikavutiwa na mdada mmoja khaaa alikuwa kama kaumbwa nikasema laulaaa Mungu kajibia maombi kitu si ndio hiki.. ile ki gentleman nikamfata mtoto 😅😅😅 nikawa kauli mbili ya kwanza bei gani akageuka akakata jichooo kali hilo 😅😅 nikavunga kama hajanisikia nikamuambia nataka tu company 😅😅😅 au basi .. But wanawake wote wazuri na wanaume wote wazuri ila hadi upate wa aina yako hakuna mtu mmbaya ila kuna walio zidi excellence
Kaka kwema?
 
Back
Top Bottom