Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Mie kunigusa ni sawa na kudumbukiza kichwa kwenye Conc Suphuric Acid muulize mkemia mkuu wa selfie atakuambia kama hata vuzi la kichwani kama litatoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jaman mr kahawa hizo sio shida zangu mbna. Hebu relaaaaaaaxxxxxx.
 
Uwiii usiwekee maombi mengi, unashangaa inaanguka inapasuka.
Hiyo mpe boda chap ailete nitaiombea mwenyew[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulikuwa tumefanya maombi ya mfungo 10 kavu ili mtumishi mwenzetu ukianza kuinywa ubarikiwe hadi ushangae.
 
Shos Ukiacha wenge wewe ni booongeeee la jembee!![emoji12][emoji12][emoji12][emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!
Weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!! Yaan nasifiwa hivi tena wazi wazi na ile enyewe sio ya kinafiki, afu nisiringe? Hapanaaa sio mie na siwezi kabisaaa,

Woyooooooooooooooooh ahsanteee shouzzzzzz, a laiki iti. Nakubaliiiiiii na haipingwi yaan
Imeisha hiyooooooooooh, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
 
Back
Top Bottom