Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tecno hoyee
Huwa ni simu nzuri pia ukipata yenye megapixel nyingi picha inatokea vizuri kweli .

Wengi wanaotumia Samsung hawapendi kurudi kwa mchina tena au watumie iPhone ,wewe upo tofauti .
Samsung ni hadhi tu ya jina
Ila tecno ni simu bora sana.
 
Asie jifunza lazima afunzweee 😅😅😅 mie najitahidi kutokomeza zeroooo .. ingawa life is choise ila fimbo lazima uchapwe 😅😅😅 ila leo nimeamkia wapi jamani
Kwani wamekufanya nini jamani?? maisha lazima yaendelee baba pasta achana nao ebu Tuendelee kuselfika basi
 
Yeah Tecno ina uzuri wake
Ngoja wapenzi wa Samsung waje
Mjombaaa laribu majumba ya maweee basi unifundishe ku kiss naona ki cocastic kimegomaaa hadi kipelekewe FFU
8E2E114F-8C72-423C-A05C-4D1D79F8F72A.jpeg
 
Unajua kumsema sema au kumtajataja mtu Wakati yeye hana muda nawewe ni dalili kuwa yeye ni threat kwako!! Tuendelee kuselfika mazee
😅😅😅 ila kwani tumetaja mtu, maana akihisi ametajwa ndio anakuwa amewashwa washwaaa.. mada ilikuwa usaliti na kupindua meza kwenye real life ipo kila maeneo kitaa na hata hapa JF haya mambo kibao
 
Back
Top Bottom