Selfika na JF: Snap it. Show it


Haipo hiyo kwani Hadi uombe wew ukitaka kufanya fanya tu huko nisijue tuheshimiane
 
Yaani umuambie kabisa wife unataka kupiga nje? Aisee hapana wewe fanya tu kimya kimya.
 
"Wala haikanushiki kabisa kwamba mdogo hubarikiwa na mkubwa."
 
Mimi nisiambiwe hizo habari kabisa. Tunajua kabisa wanaume wapo vipi lakini nisijue afanye mambo yake kimya kimya. Mume anauma weee (japo sina hata huyo mume
)
Kwakweli heshima ifate mkondo hawez kuwa na mmoja sawa anamatamanio sijakataa sasa ndo Hadi useme kwanza mwanaume wangu nikikufumania nakuacha huna vigezo mwanaume unafumaniwaje 🀣🀣🀣
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ huwa napenda sana Mithali Sura ya 30 na 31 nikisoma huwa nafurahi tu, kwa ufupi huwa napenda Mithali na ni chakula cha kila siku kuna nondo mle ukizila ninhatari
Nilipewa hili neno siku ya ubwabwa wangu;

Proverbs 31:23. Her husband is respected in the gates, When he sits among the elders of the land.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…