Post M-alone
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 2,962
- 9,557
Ni kweli usemacho mkuu.Ukikaa barabarani gari nyingi ni 40million kushuka chini ndio zimejaa hapa Tanzania. Na wengi wanachukua Auction grade 3.5 , 4 wachache na kushuka chini, zilizo 4.5 na 5 kipengele kwa wengi bei unakuta zimesimama.. Na wengi wananunua magari ila uwezo wa kuyatunza bado hata hizi hizi za 15 millions bado zinasumbua watu kuzitunza
[emoji849]Nakutumia kichekesho saivi[emoji23][emoji23]
Af hiyo avatar yako, niliiona sehem. Ngoja nikumbuke niliiona wapi[emoji848]
Ili Historia ya marehemu nayo iwe fupiHakuna jipya chini ya jua
Wacha papaa afaudu hiyo yutong
Yan acha tu dadaangu alipumzishwa hospitali alienda anahoma dokta akampa kitanda apumzike [emoji23] kupima hmna homa dokta akjiongeza akimuanglia kichwan kichwa kimewamba akachukua mkasi akakata kata nywele[emoji23] akamwambia aya pumzika kidogo tutaendelea na vipimo [emoji1787][emoji1787] alivoruhusiwa akakta na nywele kabisa zilizobaki Uzi uheshimiwe
Tege tu limekushindaWeh lile tege lilivyo hadi mimi naliogopa
Omba tu kitu kingine ila siyo mguu[emoji23]
Anha sawaNilikuwa nakutafutia na vipicha, sijui hata nimeziweka wapi. Badili fundi tofauti na yule aliyekusuka awali
Vitu vyangu ivo nkipata la mbeya mbeya ndo mambo freshiiTandam hilo, safi sana mkuu 😜
Hii ya mwisho itapendeza zaidiebu angalia hutu Offshore Seamen aje atupe makaridio View attachment 2226613View attachment 2226610View attachment 2226612View attachment 2226611
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We na hiko kisticker chako je🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂 njoo tuchatie hapa, kule unaniumiza mbavu 😂😂😂😂😂😂😂
Vyepi hivyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aaaah[emoji23][emoji23] Coca usinifanyie ivyo tafadhali
🤣🤣🤣🤣🤣
Ndogo zinapendeza, hata kubwa zinapendeza pia; ila usuke saizi ya kati. Ngoja kesho nikutafutie pichaAnha sawa
Sina msusi permanent ... Yani kambi popote si unajua uswahilini tena [emoji23].
Zile zinapendeza zikiwa ndogo ndogo eh ? Au
Safi sana mkuu enjoy to the fullest, ila huyo akijaribu kuja juu si umeshakufa wewe😂😂Vitu vyangu ivo nkipata la mbeya mbeya ndo mambo freshii
Methali 31:30 Madaha huhadaa na uzuri haufai,bali mwanamke amchaye Mwenyezi-Mungu atasifiwa.Wewe na kimbaumbau???? Basi lazima kana tako
Vipi Wigelekelo[emoji849]
Shouzzzzz mic u moaaaah. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Botswana 😂🤣🤣🤣🤣🤣
Wa nchi gani huyu
Ooh AsanteNdogo zinapendeza, hata kubwa zinapendeza pia; ila usuke saizi ya kati. Ngoja kesho nikutafutie picha
Nina package mpya 🤣🤣🤣We na hiko kisticker chako je🤣🤣