Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,199
Auntie Junia nigundishe na mimi kupaka[emoji7]Lipstick kwa hisani ya mtoto wa mama mkwe[emoji3059]View attachment 2227239
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Auntie Junia nigundishe na mimi kupaka[emoji7]Lipstick kwa hisani ya mtoto wa mama mkwe[emoji3059]View attachment 2227239
NimeirudiaView attachment 2227236
Buza hakunaga matozi 😀Hahaaa tozi mwenyewe 😂😂😂😂
Ngoja nitajaribu kujisuka makubwa makubwa ili nisibebe mzigo mzito kichwani.Ah lazima ni mwendo wa kulalia komwe tu
Nasuka chache ili nikiamua kufumua iwe rahisi pia kukaa muda mrefu siwezi .
Angalia wasap yako 😂😂😂😂 vizuriNakutumia kichekesho saivi😂😂
Af hiyo avatar yako, niliiona sehem. Ngoja nikumbuke niliiona wapi🤔
AiseeLipstick kwa hisani ya mtoto wa mama mkwe[emoji3059]View attachment 2227239
😂😂😂😂 Mabawa yapo kama kawaida. Ndo haya yananing'inia....Haa[emoji23]
Kumbe ni hilo Hilo??!!ulitoa mabawa?
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Ah maumivu rafikiUkimaliza kusuka unakunywa panadol? Aisee...nyie watu[emoji2][emoji2]
Urembo wa nywele ni mateso[emoji1787]Ukimaliza kusuka unakunywa panadol? Aisee...nyie watu[emoji2][emoji2]
MwanafunziNimeirudiaView attachment 2227236
Nini panadol? Kuna wanaopaka mpaka diclofenac gelUkimaliza kusuka unakunywa panadol? Aisee...nyie watu[emoji2][emoji2]
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mabawa yapo kama kawaida. Ndo haya yananing'inia....
Lipstick kwa hisani ya mtoto wa mama mkwe[emoji3059]View attachment 2227239
Nasubiri game huku nikiendelea kusoma kitabu cha jinsi ya kumwelewa mwanamke. Terrible!Nini panadol? Kuna wanaopaka mpaka diclofenac gel
Baba Mchungaji pulizi niwache!Hii inaweza ongeza credit mambo ayapendayo Shimba Ya Buyenze View attachment 2227215View attachment 2227216View attachment 2227217
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata hii ina utata mwingi, siku nyingine nyoosha maelezo usilete utata kwenye mazungumzo.