Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,895
- 34,888
Hata kidogoHandsome
Hata kidogoHandsome
Niko vizuri nywele,chogo,ucheusi Mangala au kitu Gani?😂Mpwa uko vizuri!
Tulikubaliana ukipost picha utanitag🤔 🤔 We mwingine unasema hivyo.
Hahaaa tozi mwenyewe 😂😂😂😂
Tuache na pichaKaribu Hustler one nakuachia ofisi leo nina udhuru..sina shaka nawewe najua utaushika usukani vema sana katibu! Muwe na Usiku mwema wapendwa wote!!
✌️✌️✌️✌️!!
Mwenyekiti umepata majukum mengineKaribu Hustler one nakuachia ofisi leo nina udhuru..sina shaka nawewe najua utaushika usukani vema sana katibu! Muwe na Usiku mwema wapendwa wote!!
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
MnoHata kidogo
Kesho ntakuwa na hangover..leo nimekunywa mno😅😅😅 kesho alfajiri nakuja kafuru kukuona au nije kinyerezi park tupige kitimoto
Captain nakudai pichaAhsante sana.
Leo majukumu yameingiliana mjumbe!!! Mtapokea mwongozo kutoka kwa katibu Hustler one .
Madam huu uteuzi ungemuongeza na Kaka big wasaidiane sema ndo haonekani[emoji23][emoji23][emoji23]Kaka BIG wera uu...Karibu Hustler one nakuachia ofisi leo nina udhuru..sina shaka nawewe katibu najua utaushika usukani vema sana !Muwe na Usiku mwema wapendwa wote!!
[emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]!!
🤦♂️🤦♂️🤦♂️Kesho ntakuwa na hangover..leo nimekunywa mno
Geuka kwanza!!Tuache na picha
🤣🤣🤣🤣🤣Muba mubeeee mubiiiii
😂😂😂😂😂 nacheka kama zuzu hapa
Kijana anasemaje[emoji16]Mimi sijambo. Tena leo nilikuwa naongea na kijana wako. Amefurahi hatari [emoji16]
Mwee boss ledi niligeuka palepaleGeuka kwanza!!
Njoo tupige vyombo wewe🤦♂️🤦♂️🤦♂️
😂😂 nina stika mpya🤣🤣🤣🤣🤣
Wacha me nitafute zangu barakoa we si umenibania