Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahah hao ndo walininyanyapaa sana nilipoomba zao...

Shunie alinitumia ya vidole akiwa kaunta ya juu
Sakayo ye akaweka sijui ki emoji gani kile
Atoto nilikuta sifa zake tu za shingo ya Kitutsi
siyo vizuri,, mimi sipo kwenye ile list ya wale uliotaka wasione picha zako lakini nashangaa umezifuta kabla sijaziona..rudisha tafadhali
 
Furaidei lodingi
1572584620453.jpeg
 
Back
Top Bottom