Selfika na JF: Snap it. Show it

#facebookmemories #2010
133050_181744028509607_1613156_o.jpg
 
Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.

Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.

Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.
 
Back
Top Bottom