Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Wakati huo timu kubwa duniani liver tutakuwa tunafanya nini?Ndio utulie sasa
Chelshit wakinyanyua kwapa
Utapungukiwa nini![]()

Wakati huo timu kubwa duniani liver tutakuwa tunafanya nini?Ndio utulie sasa
Chelshit wakinyanyua kwapa
Utapungukiwa nini![]()

Usiku niliota Panya road wananifukuzaBasi njoo asahivi mlimani city tule pweza na samaki![]()
Bigie kaka mtu mzito asahivi anatembea na escort 😅😅😅Usiku niliota Panya road wananifukuza
Sema niliwashinda mbio maana nililala miguu ikiwa imenyooka.
Isije kuwa kweli nikakutana nao hapo Ubungo kabla sijafika Mcity.
Nakuja na wife asaaa na we uje na wife wako hakuna kutazama mali za watu

Bigie kaka mtu mzito asahivi anatembea na escort![]()

Mmh unampa Wige mtihaniNakuja na wife asaaa na we uje na wife wako hakuna kutazama mali za watu
Siku zoteMungu ni mwema...
Saint Anne mdogo wangu nakujali usichelewe wataichukua
Huwezi mpata sasa hivi yuko busy la LiverpoolSaint Anne mdogo wangu nakujali
Eeh dear, kama una mzigo wako kupeleka popote usisite kunipa tenda😂Nkamu umeanza kuendesha gari kubwa kubwa![]()
🤔🤔🤔🤔🤔🤔 ngoja wajuba wa airtel waione sasa atakuta manyoya!Huwezi mpata sasa hivi yuko busy la Liverpool
Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.
Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.
Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.

Watapigwa kwenye penati.
Umewaza nini lakini wee rubani!!😂😂😂🤭🤭!Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.