Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,341
Sina hata jipya kipenzi, pumzika tu. Namtafuta Coca naona hajaingia kabisa humu leoAu nisubirie unaanza na saprize saivi???![]()
Sina hata jipya kipenzi, pumzika tu. Namtafuta Coca naona hajaingia kabisa humu leoAu nisubirie unaanza na saprize saivi???![]()
Nice tee.
coca atakua ametingwa na weekend!Sina hata jipya kipenzi, pumzika tu. Namtafuta Coca naona hajaingia kabisa humu leo
Pole sana mkuu😭😭😭😭😭😭nusu nivunjike mwili na vocha nmekosa 😭😭😭😭
Nimecheka sana, ndio hawa nliwasema jana wanaopita kimya kimya leo wamepata kesi kweli hahaaNyie ndio mnatafutwa na kina Post M - alone![]()
Nimecheka sana, ndio hawa nliwasema jana wanaopita kimya kimya leo wamepata kesi kweli hahaa
Nimeona huruma kaongea kwa uchungu mwingiWatu wabad jamani mpaka Pilot wawatu kavurugika akili jamani!!!!


mnoooo.. kasema kesho anaamka nao!! 😂🤣🤣🤣Nimeona huruma kaongea kwa uchungu mwingi![]()
mnoooo.. kasema kesho anaamka nao!!![]()
nasubiriAseee!!
Shusha mzigo bossladyHustler one spidernyoka vipi leo mida yenu bado??? 🤔😜
kamera yangu imeharibika mr Vocha!!! Picha haitoki clear!!Shusha mzigo bosslady
Watu wana enjoy weekend
Mambo mkuuAseee!!
Sindikizia na e ngoma Fulani ya AYYaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.
Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.
Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.

Mrembo ulichokipost naomba kirudiwee😘Mambo mkuu
Shusha mzigo bossladyHustler one spidernyoka vipi leo mida yenu bado??? 🤔😜
Sindikizia na e ngoma Fulani ya AY
Niwe naye
Kuna sehemu anaimba "nakula Kwa macho"