KamaYaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.
Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.
Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.
Nimekosa tena🤕La ligi ni ngumu mdogo wangu
UEFA sawa
Vocha nimeshaweka hapo juu
Timu zote zimecheza vizuri zali tu,gengeni style ndiyo nani?Ticha bila juhudi za wachezaji ni kazi bure.
Mfano mzuri ni Mwalimu wa walimu mzee wa gengeni style.
Kikosi Cha panya road wanajiita Man utdTimu zote zimecheza vizuri zali tu,gengeni style ndiyo nani?

KabisaSio mimi, tumefanya kikao PM na wenzangu na wao wamenialika nimekutana na vitu vizito sana, nikasema haiwezekani lazima nije niwasilishe ukweli ujulikane, tulikuwa na meeting PM nikawa invited kama mzungumzaji.
Kuna mtu alishika hadi naniliuKuja hapa na chelshity yako![]()

Wacha tule misosi
NjooooooNye nye nyee
Bhas unajisikiaaaa
Nilikuwa na mtanange na blazaKuna mtu alishika hadi naniliu
Angalia post huko juu
Mie na hizo timu zenu za kishamba
Wapi na wapi![]()
Mambo mrembo.Acha tu aongee kwa uchungu sio kwa sifia wanazosifia humu ndani![]()
Yaani wanaofaidi hizi pisi za selfika ni vishkaji flani huwezi vielewa, kwanza havi comment wala kuchangia chochote hata picha ila vipo vinafuatilia uzi kwa utaratibu sana na anashushia kinywaji.
Kuna vile vizee kwenye siasa kule ni moto wa kuotea mbali.
Sisi humu tunapiga kelele na kusifia pisi mpaka mishipa ya shingo inatutoka halafu hatuambulii chochote, _King tufanye maandamano ya amani hii sio fair kabisa.
Kuna vimtu ID inasoma mwaka 2009 halafu ana message kama 500 tu, sio poa,
Pisi zinaruka na jamaa hawaeleweki kabisa, kwanza comments zao tu unashindwa kumuelewa, lakini kule PM i bet humshindi maneno.

Utaongea yoteNilikuwa na mtanange na blaza
Hatimaye nimeibuka kidedea.
I mean mtanange wa liver na chelshit

Kamanda naye anashabikia ChelshityUtaongea yote
Ukimya wako tu
Nikajua
Umeanza tabia mbaya![]()