Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Hizo hujuma sizikubaliHuwezi mpata sasa hivi yuko busy la Liverpool
Hizo hujuma sizikubaliHuwezi mpata sasa hivi yuko busy la Liverpool
Mjep amenihujumu😥Saint Anne mdogo wangu nakujali usichelewe wataichukua
Sikubali🤕
Nilitamani niziandike pembeni nikupe uwahi kuziingiza😂😂🤣🤣🤣!! Nikawa Sina namna!Mjep amenihujumu😥
Kwanza hongera sana kwa kuweka kapuni kombe la piliSikubali🤕
Kuja hapa na chelshity yako😃
Nimewakubali bana dah.Sisi huwa hatupigwi Penalt
hahahaaaa....Acha tu aongee kwa uchungu sio kwa sifia wanazosifia humu ndani 😆
Mimi siwezi kukuhujumu wewe mdogo wanguMjep amenihujumu😥
Yaani hii vocha hainipiti bureNilitamani niziandike pembeni nikupe uwahi kuziingiza😂😂🤣🤣🤣!! Nikawa Sina namna!
Mjep nipe vocha🤕Mimi siwezi kukuhujumu wewe mdogo wangu
Niliacha uangalie mpira kwa utulivuuu
Manne yote ni yetu..lipo wazi hilo.Kwanza hongera sana kwa kuweka kapuni kombe la pili
Ulikuwa hujakubali tu?Nimewakubali bana dah.
HujaniitaSaint Anne mdogo wangu nakujali usichelewe wataichukua
*104*355356312048905#Mjep nipe vocha🤕
La ligi ni ngumu mdogo wanguManne yote ni yetu..lipo wazi hilo.
Mjep vocha😥
Namkubali klopp ni bonge la ticha.Ulikuwa hujakubali tu?
Sisi ni timu ya dunia
Hujaniita
Ticha bila juhudi za wachezaji ni kazi bure.Namkubali klopp ni bonge la ticha.