Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tabora boys hakna KLF, iko Milambo hiyo comb. Waziri Bashungwa leo kafafanua hakna kubadili comb wala shule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]unabadili hiyo

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai,wamewabolongea watoto wa watu kusudi hili wapige pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman Ualimu nawee, kwa HKL hapana. Aseeeh. Km vipi aende private akasome PCB.
Na mavitabu na notisi nyingi za A level (PCB, PCM, CBG) zilishawekwa na wadau katika uzi huu. Akiupitia kwa uangalifu anawezq kupata karibu kila kitu...

Tabora boys hakna KLF, iko Milambo hiyo comb. Waziri Bashungwa leo kafafanua hakna kubadili comb wala shule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uko sahihi mjukuu. Ni Milambo...

Kama hakuna kubadili kombinesheni hapo sasa kasheshe! Ni kwenda private tu sasa...au kwa vimemo kutoka Wizarani huko huko!
 
Back
Top Bottom