Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nyie selection za mwaka huyu zina vituko, kuna mtoto alipata 2 ya 18, phys D, Chem C, bios B,

Kapangwa HGL, ambapo hist B, Geog B, Engl B.
Dogo analia vibaya, anasema hata CBG wangempanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie hata huruma hawana,
Ashukuru tu Mungu maana phys ingekuwa kumtoa machozi kama vitunguu maji
 
Nyie selection za mwaka huyu zina vituko, kuna mtoto alipata 2 ya 18, phys D, Chem C, bios B,

Kapangwa HGL, ambapo hist B, Geog B, Engl B.
Dogo analia vibaya, anasema hata CBG wangempanga.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nyie hata huruma hawana,
Si bora huyo,kuna mwenzie alipata 1 ya 17 dogo sayansi hatari

Looh jamani walimchagulwia chuo cha maendeleo ya jamii Musoma[emoji23]

Dogo alipiga yoweee hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona anaweza tu kubadilisha combination akitaka?
 
Si bora huyo,kuna mwenzie alipata 1 ya 17 dogo sayansi hatari

Looh jamani walimchagulwia chuo cha maendeleo ya jamii Musoma[emoji23]

Dogo alipiga yoweee hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa huyu dogo anavyolia sasa had huruma lol.
Tena kapelekwa shule nzuri tyuuh, ila HGL.
 
Back
Top Bottom