Tukaushe jirani[emoji1787][emoji1787]Jirani unanichanganyaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ni kweli mkuu.😅😅😅😅 hii ni W16 Bi Turbo iliyomo kwenye buggat new model
Nimeiona shangazi, huwa nagongea kwa baba Mchungaji siku mojamoja.
Nilimaanisha boots za kupanda hivi na sio Travolta moka za wakuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2221573
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umesahau unavyowapondaga wakaka wa watu wakianza kulalamika hawapendwi halafu hawajui kwanini,kumbe tatizo ni wafupi halafu wanaweka vigezo wanataka demu mwenye chura[emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaaahUmesahau unavyowapondaga wakaka wa watu wakianza kulalamika hawapendwi halafu hawajui kwanini,kumbe tatizo ni wafupi halafu wanaweka vigezo wanataka demu mwenye chura[emoji23][emoji23][emoji2096][emoji2096]
Jamani sasa mtu akioa ndio asisifiwe.Ili iweje
Kawowa huyo
Mimi tu bado
Eeh hatuna habari na milonjo yetu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi kali sana hata mimi natupia hii...
Kuna muda navaaga buti za kiume sijali wala nini[emoji23][emoji23]
Ahsanteeee....
Pandisha juu nione km umechomekea au vipi.
Charty begins HomeHawa watamtetea ndugu yao,hawaaminiki hata kidogo[emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shangaziiiiii
Wee kapendeza bana acha zako coca!Pandisha juu nione km umechomekea au vipi.
Ila kwa level ya casual bado sanaa, ongeza unyunyu tena
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
_King ndio kakupa sifa uliyonayo hizo ni pistoni 16 sio nane kama nilivyosema halafu turbo ya ukweli.Unanijaza mkuu!😉
Huwaambia kitu. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Uwakute busy kavaa shati la beach na kinjunga wee[emoji23][emoji23]
Mkuu kwenye outfit hatuwezi fanana, mwisho wa siku unakutana na anaependa mapigo yako.
Mkuu wewe ndiye ulikuwa unatafutwa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] shouzzz kapendeza ndyo, ila kwa levek ya casual bado.Wee kapendeza bana acha zako coca!