Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,996
- 35,447
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aaaaah sasa ndo nn hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aaaaah sasa ndo nn hiki?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Badae badae nitatupia yoote acha kwanza nikijipaka mafuta usoni na mikononi maana nimepaukaa kama kipande cha muogo
Ndio vitu vyangu shangazi hivi nje ya hapo ni mwendo wa malapa na sandal 😅😅😅😅😅Mjomba kiatu nimekielewa[emoji91]
😅😅😅😅 huku ni pambaaa au korie[emoji23][emoji23]
Unajipaka yale mafuta yetu yale yakupikia au kitu cha samli[emoji2][emoji23]
weee mjomba acha kumjaza mwenzio basi!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Usimpe hope aone kama amekosa kitu cha kawaidaa Post M-alone kidogo networking na servers za jf zi shut down kwa mtetemeko wa selfie yenyewe hatari sana [emoji91][emoji91][emoji91]
Shangazi jana ulilala mapema sana..tupe vitu shangazi!
Mimi na Strawbella tunasubiri.[emoji28][emoji28][emoji28] Hii cadet zangu hizi badae nitarusha paka juuu shangazi mahondaw View attachment 2221479
Wameisha choma mpira lazima nyoka atoke alipo jificha 😅😅Hii mada ya mashati ya 4m6 na mashati ya kuchomekea kuna mtu anatafutwa humu..
[emoji23]Hii mada ya mashati ya 4m6 na mashati ya kuchomekea kuna mtu anatafutwa humu..
hahaha Shimba Ya Buyenze na Wigelekelo wakifika hapa sasa![emoji848]
Alafu ebu tupia kwanzaaa, sijawai bahatisha selfi yako kila niki cheki nakua holaaa 😅😅😅😅
Enhee sasa nshajua nini unapenda.Kelsea
Shangazi umeona hiyooo.
Ndo vitu hivi sasa, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]View attachment 2221516
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] nani huyooo?Hii mada ya mashati ya 4m6 na mashati ya kuchomekea kuna mtu anatafutwa humu..
😅😅😅😅weee mjomba acha kumjaza mwenzio basi!!
Khaaa!! nyieeeAlafu ebu tupia kwanzaaa, sijawai bahatisha selfi yako kila niki cheki nakua holaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Woooooow!!! [emoji16][emoji6][emoji6][emoji6]Call me later boss!![emoji6] _King haikua hii lakiniView attachment 2221517
Nini napenda mie shangazi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]