Oooooh hapo sawaaaah, ila una kichwa cha kunyoa afro kiduku flan iv, unyama mwingi sanaaa.[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Hizo nimeziwekea rough… ndio maana unaona hivyo ulivyoona…
Nimeziviriga na lile brash la kuwekea dread
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hebu fanya haraka sana ushushe kitu, hata kwa kupandikiza fanya mafekeche. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakubali mwaisaaaOooooh hapo sawaaaah, ila una kichwa cha kunyoa afro kiduku flan iv, unyama mwingi sanaaa.[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Kutoa msamaha ni kamzozo flani hivi kagumu sanaMsamaha hutolewa kwa mwenye kuomba msamaha. Msamaha hutanguliwa na kukiri makosa na kuomba radhi badala ya kiburi cha dhambi, upotovu na upotevu. Wakati mwingine hukumu na adhabu ni msingi wa haki, ukweli, nidhamu na maadili. Kukosea ni ubinadamu, kujikosoa ni utu. #UkurasaMpya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwan wengine kwao wana nn? Ila wee daaah.Nakubali mwaisaaa
Tatizo nyumbani kwetu kuna wakubwa [emoji1787][emoji1787]
Msamaha? Which? Where? Who?Msamaha hutolewa kwa mwenye kuomba msamaha. Msamaha hutanguliwa na kukiri makosa na kuomba radhi badala ya kiburi cha dhambi, upotovu na upotevu. Wakati mwingine hukumu na adhabu ni msingi wa haki, ukweli, nidhamu na maadili. Kukosea ni ubinadamu, kujikosoa ni utu. #UkurasaMpya
Khaa!unatunanga [emoji38]Nikimuona mkaka kachomekea Shati jeupe sijui nahisi nini[emoji23],,,
Usiniulize
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hukunistua bestMzee Baba umekidhi vigezo vyote vya wadada wa hapa jf
Tall,dark handsome na kikubwa zaidi umepiga shati jeupe na umechomekea[emoji28][emoji28]
Kuna Uzi humu ulipostiwa juzi wadada wakipenda staili yako ya uvaaji
ngoja waje....
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Wakubwa waliopo majumbani mwetu wana tofautiana… mf, kwa kaka ake mama siwezi enda nimevaa skin jeans, ila home kwetu navaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwan wengine kwao wana nn? Ila wee daaah.
🤣🤣🤣🤣 subiri siku uvurugeMsamaha? Which? Where? Who?
Si tulikubaliana hakna kusamehe? Kila mtu ashike 20 zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ooooh hapo nimekumanyaa. [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Wakubwa waliopo majumbani mwetu wana tofautiana… mf, kwa kaka ake mama siwezi enda nimevaa skin jeans, ila home kwetu navaa.
Umeona utofauti huo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3] twende taratibu bas nawee.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] subiri siku uvuruge
Ndio utajua umuhimu wa msamaha.
Sio kesho maadam?Marahabaaaa.... leo Hkizo wanaua pepaaaa!!!
😀😀 Marahabaa tooooMarahabaaaa.... leo Hkizo wanaua pepaaaa!!!
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mama la mamaaa 👑👑👑Mamaa asie na mambo mengi..[emoji6]View attachment 2221445
Hamna mamy mie pia nshapita huko lkn still napenda mwanaume avae kawaida tu, suti hizo kama ana event maalum.coca na mawardat tatizo umri bado na ujana ujana ndio unawaendesha sio kosa lenu! !
Maadam km maadam, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Mamaa asie na mambo mengi..[emoji6]View attachment 2221445