Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
😁😁😁😁 ila shangazi wangu ni kisuu kil saa natazama whatsapp 😅😅fanya windows 1.0 kabisa tufunge mjadala..
Unaaga wanapost utalala sasa mkuuMkuu nahesabu. Hii ni mara ya sita unaaga kuwa unakwenda kulala usiku huu![]()
Ooh nipo tu hapaLeo naona unapita juu kwa juu
Salama?
Inawezekana nimefinchwa na sijijui nimefichwa.Ulipotea sana, nilihis umefichwa sehemu na jamaa fulan,![]()
I can imagine!!!Na ka hali ka hewa katraamu hadi rahaaa.. leo nilikaa mahala hadi giza likaingia nilikuwa natazama tu wingu ... nimetoka saa tatu usiku 😅😅😅 nilikuwa kama nawangaView attachment 2219655
ila shangazi wangu ni kisuu kil saa natazama whatsapp
![]()

kisu hakikati tena mjomba...Ata mie nilitaka nimwambie hivyo,kaaga mara sita hapa,lakini halali etiMkuu nahesabu. Hii ni mara ya sita unaaga kuwa unakwenda kulala usiku huu![]()

Yeyote mwenye upendo wa dhati best anafaaSijawahi kuwapenda watu wa race hiyo, sijui nawaonaje yaan.
Ngoja nitajaribu kwan 1 time. Uwiiiiih
Naelewa mkuu...



Ooh nipo tu hapa
Thanks for asking nipo poa kabisa vipi wewe ?
Si umenambia nsilaleAta mie nilitaka nimwambie hivyo,kaaga mara sita hapa,lakini halali eti
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mawardat aniambia nsilale alaf hafanyi maajabuNaelewa mkuu...
Unasema ngoja sasa nizime simu unakuta mtu ndo anasema usiondoke narusha sasa hivi dah! Usingizi wote unahama yaani![]()
Ukweli huku naenjoy hatari, kesho naenda kaa upande wa pili ambao una bonge ya mapolomoko ya maji 😁😁 uje sasa na ka mziki ka JBL 😅😅 ili maisha yawe matamuuI can imagine!!!
That sunset is heavenly!!!!😌
Ooh vizuriNashukuru Mungu niko poa kabisa..
How was your day?