Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Ooh vizuri
Siku ilienda vyema kabisa huku vipi wewe ?
Ilikua poa pia..
Ooh vizuri
Siku ilienda vyema kabisa huku vipi wewe ?
Ewaaaaaah mambo ndo haya sasa, nikivaa short ya jeans naona dunia yote yangu.
😅😅 kinakata hadi mufupa whatsapp yangu mbona inakoma hapa kila saa natazama isije picha ikapotea[emoji2][emoji2] kisu hakikati tena mjomba...
Coca kawazngue basi washkaj majukwaa serious waanze kukushambulia mm niinjoy[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jirani ni wapi huko, panapendeza macho sanaUkweli huku naenjoy hatari, kesho naenda kaa upande wa pili ambao una bonge ya mapolomoko ya maji [emoji16][emoji16] uje sasa na ka mziki ka JBL [emoji28][emoji28] ila maisha yawe matamuu
Yeyote yule anayeukosha moyo wako. [emoji23][emoji23][emoji23]Inawezekana nimefinchwa na sijijui nimefichwa.
Eheee nani tena kanificha kipenzi
Ahsanteeeeh, nshapata desa. [emoji6][emoji6][emoji6]Yeyote mwenye upendo wa dhati best anafaa
Jirani nipitie asubuhi twende wote 😁😁Jirani ni wapi huko, panapendeza macho sana
[emoji28][emoji28] kinakata hadi mufupa whatsapp yangu mbona inakoma hapa kila saa natazama isije picha ikapotea
Weweeeee!
Nitajiripua siku moja hapa uone.
Nitakutag!
Oooh pole sana.Allah akifanyie wepesi
Hapa unaongea na mm mkuu uyo mdgo wako tumpe mdogo wanguOooh pole sana.Allah akifanyie wepesi
Au nikupe dogo langu kwa mkataba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mdogo wako yupo na umri gani shem?Hapa unaongea na mm mkuu uyo mdgo wako tumpe mdogo wangu
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleeeeeh.
Una matatizo ww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Poleeeeeh.
🥺🥺🥺🥺🥺🥺Ukweli huku naenjoy hatari, kesho naenda kaa upande wa pili ambao una bonge ya mapolomoko ya maji 😁😁 uje sasa na ka mziki ka JBL 😅😅 ili maisha yawe matamuu
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3] sio shida zangu. Khaaah
Aya bhn naona na ww una usngizi unaumung'unya uku unachat haya[emoji23][emoji3][emoji3][emoji23][emoji3] sio shida zangu. Khaaah
Mapema sana jirani. Sio kule juu milimani Kin...?Jirani nipitie asubuhi twende wote [emoji16][emoji16]