cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,172
Na ka hali ka hewa katraamu hadi rahaaa.. leo nilikaa mahala hadi giza likaingia nilikuwa natazama tu wingu ... nimetoka saa tatu usiku 😅😅😅 nilikuwa kama nawangaBasi do the needful maana hiyo view sio ya mchezo.🙂
Kuna mipicha yangu kibao humu mbona?Ila mjomba hata kucha yako siijui huoni kama ni dhambi?![]()
au window 98 😅😅😅😅 au basi 🚶yallah...
Yapi hayo?Alafu kunaswali nilikuuliza wikimbili zimepita hukunijibu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mkuu nahesabu. Hii ni mara ya sita unaaga kuwa unakwenda kulala usiku huu




Ooh pazuri sanaNa ka hali ka hewa katraamu hadi rahaaa.. leo nilikaa mahala hadi giza likaingia nilikuwa natazama tu wingu ... nimetoka saa tatu usikunilikuwa kama nawangaView attachment 2219655
Nitakuuliza sikunyingine muda huu watu wanaselfikaYapi hayo?
Humu wakati mwingine kukiwaka moto ni rahisi kupitiwa. Nikumbushe!
Kuna mipicha yangu kibao humu mbona?
Halafu mi mzee sana yaani mpaka huwa naona aibu kuweka picha. Miaka 76 unafikiri mchezo shangazi?
Sanaaa yaani.. 😁😁 karibu mjombaOoh pazuri sana
Weweeeee!Miaka 76 wapi?
Sidhani hata kama una 45...
Ooh asante sana UncleSanaaa yaani..karibu mjomba
Sawa. Kama ni ya muhimu unaweza kuja hata kwa Kassim Majaliwa.Nitakuuliza sikunyingine muda huu watu wanaselfika
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app