spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,120
- 21,810
Leo tukuone na ww aisee kitamboTumezoa kwa hii mida inakuaga ni yako
Halafu wahindi tunafuata[emoji2][emoji2]
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Leo tukuone na ww aisee kitamboTumezoa kwa hii mida inakuaga ni yako
Halafu wahindi tunafuata[emoji2][emoji2]
Naona kuna mida ya kutupia live ndio naisubiri hapaWeeh usinambie Kumbe!! live ya nani???😳😳
Kila mtu anashangaa yaani. Alishatuzoesha vibaya. Tumekuwa kama majibwa ya Pavlov! Tukiona tu anaaga tunajua na picha ipo [emoji16][emoji16][emoji16]
Na mwaka huu mahindi hakuna[emoji23],wapenda ugali mjiandae kisaikolojia[emoji3]
[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] babuuuh mie navisalimia tyuuh. Nimecheka mnoo lol.Unatafuta cha kukulea mjukuu wangu mtata?
Njoo tupige picha kwanza 😅😅😅Hmmmm...nadhani unichagulie mwenyewe. Cha msingi isiwe seafood 🙂
Utanisevia nahisi nitakua nimesinzia tayari!Naona kuna mida ya kutupia live ndio naisubiri hapa
Mbona nishatupia na mpo hapohapo hamjaiona mjue!!![emoji6]
Nakusalimia[emoji3064][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji3] babuuuh mie navisalimia tyuuh. Nimecheka mnoo lol.
Ulipotea sana, nilihis umefichwa sehemu na jamaa fulan, [emoji6][emoji6][emoji6]Nipo dear sina pakwenda.mji umekuwa wa gharama mno na pesa hakuna
Akili zako unazijuaga mwenyewe
Madame anaanza halafu ndio nafuata..
Yanii tutateseka sisiNa mwaka huu mahindi hakuna[emoji23],wapenda ugali mjiandae kisaikolojia[emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuwapenda watu wa race hiyo, sijui nawaonaje yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukikipata kimoja wapo unatulia tuli[emoji2957][emoji2957]
Haina Shaka mkuuMadame anaanza halafu ndio nafuata..
kweli tena nimeweka hapahapa hawajaiona!! Ngoja nitume tenaMadame toka lini umeanza mambo ya wige?
Uongo. [emoji23][emoji23][emoji23]Kweli
Shangazi tupia basi, mjomba afurahiMadame anaanza halafu ndio nafuata..