Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Oyaa mdogo wake biggie ofisi umefunga?[emoji2][emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hakurudisha hata, kavu sana yule mbwaaa, kwanza akawaita wenzie wawili wacha wanipe mazoezi, nilihisi nakufa ile siku wallah
Siku ya mwisho anaomba msamaha, eti kuna maisha nje ya pale, nisimchukie, ilikua n kazin naye alikua anatimiza wajibu, niwe mzalendo na nisimamie haki, ila hela hakutoa mbwa yuleeee msieeeeew.
Basi do the needful maana hiyo view sio ya mchezo.🙂😅😅😅 Zile zinatosha kabisa kukodi 🛩 View attachment 2219650
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule mbwaa khaaaah.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Pole sana mzalendo!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmefunga mkuu nataka nipumzishe fuvu alaf big akija atawazngua mjueOyaa mdogo wake biggie ofisi umefunga?[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mie staki mjue.Oyaa mdogo wake biggie ofisi umefunga?[emoji2][emoji2]
Hapana. Kuzoeana kunakujaga nachulale shangazi. Huku kwa kupambana huku wala hakunogi kivile. Polepole tu shangazi. Tuombe tu uzima....
[emoji3591] Ila ungesababisha dah! Hata kama ni kwa sekunde moja tu...
Mimi sinaga kupepesa mambo akija big nakata kibangala namuonesha watu wake[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mie staki mjue.
Ile zawadi yako iko palepale.Wewe sasa
Alafu kunaswali nilikuuliza wikimbili zimepita hukunijibuAsante. Niko sensitive na haya mambo. Siyo we umekazana kumtania mtu kumbe unamkwaza....
Asante mkwe..
mzungu wa window XP [emoji28][emoji28][emoji28]
😂😂😂
Big[emoji23][emoji23]Oyaa mdogo wake biggie ofisi umefunga?[emoji2][emoji2]
Sasa nan anamuogopa huyo mdogo ako? [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sinaga kupepesa mambo akija big nakata kibangala namuonesha watu wake
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nmefunga mkuu nataka nipumzishe fuvu alaf big akija atawazngua mjue
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Abeeeeeeeh cuzoh km cuzoh, nipo hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nyie mie staki mjue.