Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,095
- 41,710
[emoji3][emoji848]Utaselfika baadaye kama ulivyoahidi?
[emoji3][emoji848]Utaselfika baadaye kama ulivyoahidi?
Mmedinda kuubariki usingizi Wangu na selfii sio??!!😌😌Usiku mwema mkuu 😊
Mlale unono wapendwa!![emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
Ntaongezea na majiiDaaaah pooooleeee[emoji3064]
Huu utakutosha?[emoji1541]View attachment 2219511
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nimechoka nina mausingizi kama yote [emoji6]! Haya nibariki walau naeza amka mkuu!
Kila mtu anashangaa yaani. Alishatuzoesha vibaya. Tumekuwa kama majibwa ya Pavlov! Tukiona tu anaaga tunajua na picha ipo [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi hivi tu?
Oh! Peter!
Tunasubiri live bila chengaMmedinda kuubariki usingizi Wangu na selfii sio??!!😌😌
"I hope this is the beginning of a wonderful friendship..."Oh! Peter!
asante shangazi Vipi unatupiapo ka selfii walau nizindukemo usinguzini shangazi??😉Pole dear
Hope uko poa...
Pole madamYani nimechoka mnoo! Shukrani msukuma !
Weeh usinambie Kumbe!! live ya nani???😳😳Tunasubiri live bila chenga
Kila mtu anashangaa yaani. Alishatuzoesha vibaya. Tumekuwa kama majibwa ya Pavlov! Tukiona tu anaaga tunajua na picha ipo [emoji16][emoji16][emoji16]
Asante mdogo wangu!
asante shangazi Vipi unatupiapo ka selfii walau nizindukemo usinguzini shangazi??[emoji6]