Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Uliuliza huku unajuaKichaaa wewe
Pepo mwenyeweee...Tena Pepo tookaaa
Ufongoke Kwa Jena la Yesoo
Halafu nye nye nyeee
Kwendaa
Uliuliza huku unajuaKichaaa wewe
Pepo mwenyeweee...Tena Pepo tookaaa
Ufongoke Kwa Jena la Yesoo
🥰Selfikaaaq
Punguza story[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2219339
UmependezaSelfikaaaq
Punguza story[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2219339
[emoji120]dearUmependeza
Uko portable hadi raha [emoji7][emoji7]
Chizi wewe😃Uliuliza huku unajua
Halafu nye nye nyeee
Kwendaa
Sio mbaya bado upo bomba[emoji120]dear
Nimejipunguza kidogooo
Niwache! [emoji16][emoji2099][emoji2099]Huyo p ni nani mkurugenzi?
Mbona unamtaja sana?
Nakazia! [emoji16][emoji16][emoji16]Beba mimba
Sio mnakaa miaka dahari
Tumbo nehi
Halafu ma wifi waanze kebehi zao
'Umekuja kujaza choo tu hapa'
'Wewe na aliyekuoa mna jinsia moja'
'Mbona hatuoni hata kulamba limao'
Nasemaaa nyie mabinti bebeni mimba
Hivi wewe ndio Christine yule?[emoji120]dear
Nimejipunguza kidogooo
Kwa nini kaenda kupima?
Kwani nimekushika?Niwache! [emoji16][emoji2099][emoji2099]
Niliselfika fulu bodi bila chenga ili kukuonyesha juhudi zangu za kupambana na kitambi zilipofikia ila nilipofikiria usivyotabirika sijui ungekuja kusema nini nikaona tu nifute [emoji16][emoji16][emoji16]Kwani nimekushika?
Asubuhi uliandika Nini ukafuta?
Braza hutaki mchezo mchezo
Kwanini kaenda kupima????____kapima kujua afya take.Kwa nini kaenda kupima?
Bado anapiga mechi za kushtukiza ama?
Nilikuwa namuona kama mbabu mwenzangu lakini kwa tukio hili nimemuondoa kwenye ubabu aisee! [emoji16][emoji16]
Bigiiiiii
Umekitaja hapo juu....Oh hongera
Kwani hicho kitambi chako nilishawahi kukiona before?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yule yupi?Hivi wewe ndio Christine yule?
Nilikisia tu mkurugenzi ,
Ile picha uliyoweka hapa January ,uliyoninyanyasia nayo. miaka 2 haionyeshi kitambi