Hata miaka Ile Nchi imepigwa na Njaa ni Wazee ndiyo tulionja matunda na vyakula vigeni kabla wanafamilia wengine hawajala ili kama Kuna shida yeyote iondoke na Sisi kwanza
Hivi vizee vya kizungu vimenipita kama vile nimesimama. Nimejaribu kuvifukuzia nikachemsha kifua kinabana. I have to up my jogging game....wiki mbili zijazo vikiingia tena kwenye anga zangu ndiyo vitajua havijui