Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

So sad ndo mwezi huu
Utarecover tu dear amini tu hivyo
Mwanzoni huwa si rahisi , muda utakupa jawabu sahihi .

Uchungu wa msiba hauzoeleki na unakuwa nao siku zote . Ni almost miaka saba toka mama aniache ila maumivu yapo tu siku unakaa unamkumbuka weh then life inaendelea tuh
Uncle open your heart, Bwana Jehova ajae full pakaa juu utapa pumziko la hatari.. ni nyakati ngumu ila bila Yesu kufulika hotoboi mazeee 😅😅😅
 
Thanks for the helpful advice Uncle ! Umenena vyema .
Najitahidi ila wapi ..najikuta narudi vile vile tu
Tatizo unajitahidi, kwa Mungu huwa hatujitahidi, kwa Mungu huwa tuna jisalimisha na kufungua moyo na kukaa magotini pake ila kama unajitahidi ni ngumu kumuona Mungu, ila kama uta jilasimisha kwake Mungu anaujaza, niliondokewa na mzee baba, nili sturgle kichizi maana alikuwa kila kitu kwangu sijawai kupendwa duniani kama na mzee baba, zile moments ambazo nilikuwa nae zilikuwa zinanifanya hadi kama nachanganyikiwa so picha yake mda wote ilikuwa kichwani kila siku namuota hadi nilikuwa kama nimechizi sometime naongea mwenye... but msaada wa kiungu tu ndio ilitoa hapo maana sometime nilikuwa hadi nawish kufa.. Fungua Moyo kwa Mungu muambie umeshindea huwezi kitu simpe prayer ambayo ina imani inabadirisha kila kitu
 
20220510_144604.jpg
 
Back
Top Bottom