Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Shavu hiiihaaZoomed out View attachment 2216835
Shavu hiiihaaZoomed out View attachment 2216835
[emoji38][emoji38][emoji38]nimekoma mmNimeona nimeona
Leo ni siku ya kujilipua tu
Wazee tutajilipua mida ya popo maana JF isije ku freeze[emoji2][emoji2]
Relax 🤣🤣😅😅😅 meshtukaaa
Macho kodooo
Kabisa mida yetu ileeeee!!!Nimeona nimeona
Leo ni siku ya kujilipua tu
Wazee tutajilipua mida ya popo maana JF isije ku freeze[emoji2][emoji2]
😁😁 Eeh Shangazi ndio maana tukija mjini tunafidia ma gape..Pole sana mjomba
Ila ndio kupambana hivyo...
Mbavu zangu sophy please 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣!!!
Dimplez❤❤Zoomed out View attachment 2216835
Kweli wewe ni kibonge[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Njoo nikufundishe diet
Ukikaa na Mimi mwezi tu unarudi 50
Sitaki kuamini kama nimeshindwa!! Au nimcall 🤦♀️Hahahaa
🤸♂️😋Dimplez❤❤
Mdogo mdogo
Hapa nikifumua hivi angalau vnitaweza kuzichana..zinalainika.
mifupa na urefu pia!!Mimi nina 74 na nimenyooka inadhani uzito uko kifuani aisee hadi kuhema siwezi[emoji2][emoji2]
Shangazi ile shepu yako matata niliionaMimi nina 74 na nimenyooka inadhani uzito uko kifuani aisee hadi kuhema siwezi[emoji2][emoji2]
Niwacheee 😂Shavu hiiihaa
Inabidi nifanye hima kuzitafuta ili nisipoteze nywele yoyote[emoji23]Ukijumlisha na zile bidhaa,mambo mazuri..
Unaweza kuruka kamba mara ngapi Kwa wakati mmoja.Nimepungua dear yaan mwepesi [emoji16]sahiz na nataka nipungue tena
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nakula kiwango kidogo sanaUnavokula wewe!!!!!!! tena vitamu vitamu [emoji848][emoji848]
Mnifichie Siri [emoji23]nimejuta Sana mliiona naomba msahau kilichotokea emoj imenisaliti niliweka pichambili emoj nikaweka yenye ndogoMbavu zangu sophy please [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!!