Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Mdogo mdogoKomaa mzee mwenzangu mwezi wa kumi unabana..
Unavokula wewe!!!!!!! tena vitamu vitamu 🤔🤔Kweli wewe ni kibonge[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Njoo nikufundishe diet
Ukikaa na Mimi mwezi tu unarudi 50
HuyohuyoNani kakuzeesha yule ustadhi au naye alitoka mbio baada ya kushiba.. [emoji23] [emoji23]
Si unyamaze kidogoKheee wewe
Kwani ni mgeni wa matokeo?
Kilitokea nini juzi kwa Man city na Madrid?
Kaa hapo
Maskini niliweka emoj ndogo [emoji24][emoji24][emoji24]Ndioooo... cocastic Strawbella zamu ya sura hukuuu!!
Bahi kuna mbuzi wataamuNilikuwa hapo Bahi
Bado mbili ama tumeongeza[emoji848]
[emoji16][emoji16][emoji16]Unavokula wewe!!!!!!! tena vitamu vitamu [emoji848][emoji848]
Sijui hata kwanini niliwaza Bk🤣🤣😂😂😂😂 tulia..
Jicho na Bk ni cha wapi na cha wapi?
Shangazi kidogo ukitoka mwituni , inabidi kujipa mda kupumzisha mwili na akili.. mwituni hatuna mda kupumzika baridi kama lote hakuna mahala hata utasema unaenda
Sawa mkuuKuwa mpole
Relax
Nimepungua dear yaan mwepesi [emoji16]sahiz na nataka nipungue tenaKweli wewe ni kibonge[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Njoo nikufundishe diet
Ukikaa na Mimi mwezi tu unarudi 50
Zipo mbili, ila game ishakuwa nyepesi!Nilikuwa hapo Bahi
Bado mbili ama tumeongeza[emoji848]
Asanteeeeeeeee
Maskini niliweka emoj ndogo [emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Zimefika kilo ngapi siku hizi?Nimepungua dear yaan mwepesi [emoji16]sahiz na nataka nipungue tena
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Sijapima bado lakn hta nguo hazinitoshi sahizZimefika kilo ngapi siku hizi?
Ndioooo... cocastic Strawbella zamu ya sura hukuuu!!