Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tieni bidii

Afu Kwanza nikuchambee
Tulikubaliana tunafunga mjadala wa pazia.. how comes watu tumelog out nyie mmefufua!?
Nini kwani? Kwani majadiliano yalikuwa ni show offs? Pazia zi zilitokea kwenye jokes tu?
Aweeeee pg nzima mmerudia pazia kama sio uchokozi nn? Fyuuu

Dogo ukijibu ndivyo sivyo nakupuuuuzaaa [emoji1787][emoji1787]
Mimi si unanijua snitch bwana[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni katika utani tu na boss lediii wetu,,legend mnanielewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] usnitch wako uwe na mipaka ooh
Na matani mie siwezi
Nayaleta mwenyewe
Yakikengeuka napaniki
Sasa nichokoze…

#Legendsmyfoot
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinichambe tu

Nikimwita boss ledi na dada wa gram umeumia
 
Yeah unene sana sio poa kiivo!
Mie naona diet nimeshindwa sikuhizi nasikia njaa kama mchwa!!
[emoji23][emoji23]mm nilikuwa na
Kg 73
Tumbo 37[emoji23][emoji23]
Hips. 47 Yan km kiroba

Now kilo sijapima
Ila tumbo 32
Hips 43 mdogo mdogo nitafika tu kuacha kula siwez[emoji16] Ila nakula kidog na usiku pia sili vitu vizito

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom