Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
[emoji23][emoji23]
Nasomea kwa juu kule 😂😂😂 nasema hiiii me mwenyewe nimebaki njia panda.That last sentence🤣🤣🤣
Kuna kitu nmekutumia chemba
Asanteeeee... bado smile na nywele sasa!
ShangaziiMpaka muda huu balimi zimefika ngapi wige?[emoji23][emoji23]
Nimeona shangazi kiuno nyiguuuu!! Amebarikiwa mnoo!Umeona kiuno eehh?
Yupo amejificha hapo hapo mjukuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapa ndio mjukuu yupo? Sidhani asee, kwani hizi mambo umeanza lini mpwa[emoji1787][emoji1787]
Ni kipilipili jana nimesuka kama vi nzi[emoji1787]View attachment 2216840
ahaaaa..Asante mjomba!
Shangazi kidogo ukitoka mwituni , inabidi kujipa mda kupumzisha mwili na akili.. mwituni hatuna mda kupumzika baridi kama lote hakuna mahala hata utasema unaendaMjomba leo umejiachia [emoji2][emoji2]
[emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096][emoji2096]Nikijibu hapo… nitakupanikisha bure
Nikomeeeee legend
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vimekaa kama mkutano wa nzi [emoji23][emoji23][emoji23]
Una nywele nyeusii
Tuendelee kumtazamia Bwana wa majeshihaya Saint Anne nawe Fanya kama hivii
Bado tambi linachomoza mbele kama jua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamnanga hivi dadako?
Afunge belt.. naonaga zinaokoa sana waheshimiwa wamama [emoji28][emoji28]
Tumekuona tunashukuru umetubarikHata sijui Shangazi inakuwaje [emoji41][emoji41][emoji41]
HahahaaNasomea kwa juu kule 😂😂😂 nasema hiiii me mwenyewe nimebaki njia panda.
Hapa ndo niligonga 73 [emoji16][emoji16]niliwaza iyosiku balaa
Mashavu sasa[emoji23][emoji3059]View attachment 2216867
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ni kibonge[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Hapa ndo niligonga 73 [emoji16][emoji16]niliwaza iyosiku balaa
Mashavu sasa[emoji23][emoji3059]View attachment 2216867
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Shangazii
Napandisha salanda hapa
Nikalale zangu manyoni
Kama sio igunga
Nilikuwa hapo BahiAisee! Mambo mazuri haya...Leo Arsenal lazima tushinde[emoji1787]