Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaweza kuruka kamba mara ngapi Kwa wakati mmoja.

Nilikuwa mnene sana nikaanza kuruka kamba nikapungua.

Sasa ninafanya kazi ya kunenepa na kupungua.naweza kuruka Kamba 50 time mguu mmoja bila kupumzima.
Naomba nikuhakikishie ni kibonge mwepesi.

Jitahidi pia kufunga kunasaidia mno.

Nilifunga Kwaresma siku 34 mfululizo na zikanisaidia sana.komaa

Unaruka tu kamba peke yake ?

Au na chakula unapunguza?
 
Unaweza kuruka kamba mara ngapi Kwa wakati mmoja.

Nilikuwa mnene sana nikaanza kuruka kamba nikapungua.

Sasa ninafanya kazi ya kunenepa na kupungua.naweza kuruka Kamba 50 time mguu mmoja bila kupumzima.
Naomba nikuhakikishie ni kibonge mwepesi.

Jitahidi pia kufunga kunasaidia mno.

Nilifunga Kwaresma siku 34 mfululizo na zikanisaidia sana.komaa
Kamba huwaga siruki huwa nakimbia uwan kwetu Mar 50 jioni lkn kiuvivu sikumoja moja Asante nitajitahid

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Hongera endelea kujitahidi utatoboa.

Jitahidi uruke.zingatia chakula,ukiweza kupata black coffee n pamoja lemon juice it’s kusaidia sana kupunguza kitambi.kunywa vikiwa vya moto kila asubuhi na mapema b4 kunywa chochote

Kwa sasa ninapiga sarakasi aina moja mara nyingi niwezavyo.karibu
 
Back
Top Bottom