Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bado hereni za makapu , magodauni na mapazia... Anaeuwa ni Mjep ndio mwisho wa yote hata kama ulikua unaandika story za makapu unastop kwanza😂😂😂🤣🤣🤣!!
Yule dogo na kapu zake basi anajiona yeye wa kwanza kufua pazia duniani
Watoto wanaochipukia Hawa muwavumilie jamani...🤣
Hutaona haya mambo Kwa wakongwe akina boss ledi
 
Yule dogo na kapu zake basi anajiona yeye wa kwanza kufua pazia duniani
Watoto wanaochipukia Hawa muwavumilie jamani...[emoji1787]
Hutaona haya mambo Kwa wakongwe akina boss ledi
[emoji23][emoji23][emoji23]jamni Kuna mm nilozaliwa nikaja kuzaliwa Tena kizazi hiki km mfalme nyani wa kwenye Ile movie [emoji23][emoji23][emoji23]ya Jackie chain

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom