Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

TIPS kwa ufupi walioweka dawa nywele
Naandika kwa ufupi jamn
1.Chagua dawa inayoendana na nywele yako kma ni laini au wastani ama ngumu

2.Fanya deep contioner hii siyo steming ni kwaajili ya kulainisha nywele na kizifanya ziwe na unyevu nunua product nzuri OSHA nywele kwa maji baridi paka contioner funika na mfuko wa nailoni usikae kwenye Moto then osha endelea na mambomengine

3.wkat unazifanyia steaming pendelea kumassage kichwa na nywele kufanya product unzotumia ziingie vizuri

4.kata ncha
5.epuka kutumia vitu vya Moto Mara kwa Mara pas na blow-dryer
6.epuka misuko ambayo inakata nywele

7.Chagua mafuta rafiki kulingna na nywele zako

Niishie hapa kwa wenye nywele zenyew dawa ongezeen km yapo leo sikuyenu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kesho ukianza timu nachuro aka misitu ya vipilipili unishtue
 
Kipilipili?
Nitakitupia mwezi ujao tarehe kama ya Leo nikiwa nimekisukasuka angalau..kesho nikatafute hizo products mlizonishauri,,nianze nazo mwanzo nione.

Zile products za muhimu sana nywele utaipenda,ila usiwe mvivu kutumia...
 
NYWELE ZILIZOOTA JAMNI
Mda wakuweka dawa bado zinawah kuota au uchumi umeyumba tips nywele yako isikatike

1.Hakikisha unapaka mafuta kilasiku
2.tumiakitana chenye matundu mapna kuchania nywele usilazimishe kuzichana
3.Tumia moisturizer/pinklotion/deep condition kwenye nywele zako kabla hijachana hufanya nywele ziwe na unyevu na uchane kwa urahisi
5.Chna nywele taratibu

NB usiretouch nywele siku iyoiyo ulofumua km ulisuka zifumue sikumoja au mbili kabla zipumue then retouch na wkat wa kuosha fanya protocal usisahau hair massage

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mara cocastic abinue tako moja
HS atupie skuna
Mambo ni hatari,Mimi nauzima Zima tu moto na kamwandiko angalau kananiokoa mwee
Bado hereni za makapu , magodauni na mapazia... Anaeuwa ni Mjep ndio mwisho wa yote hata kama ulikua unaandika story za makapu unastop kwanza anajua kutufunga midomo kisaikolojia😂🤣🤣🤣!!
 
Back
Top Bottom