Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,480
TIPS kwa ufupi walioweka dawa nywele
Naandika kwa ufupi jamn
1.Chagua dawa inayoendana na nywele yako kma ni laini au wastani ama ngumu
2.Fanya deep contioner hii siyo steming ni kwaajili ya kulainisha nywele na kizifanya ziwe na unyevu nunua product nzuri OSHA nywele kwa maji baridi paka contioner funika na mfuko wa nailoni usikae kwenye Moto then osha endelea na mambomengine
3.wkat unazifanyia steaming pendelea kumassage kichwa na nywele kufanya product unzotumia ziingie vizuri
4.kata ncha
5.epuka kutumia vitu vya Moto Mara kwa Mara pas na blow-dryer
6.epuka misuko ambayo inakata nywele
7.Chagua mafuta rafiki kulingna na nywele zako
Niishie hapa kwa wenye nywele zenyew dawa ongezeen km yapo leo sikuyenu

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

dear

!
- coca
- rafiki ake.