cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,945
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Sio sana.Na location panakutoa vizuri mnoo!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Sio sana.Na location panakutoa vizuri mnoo!!
Shida ni ugumu na uwingi zikiwa ndogo alafu zamani nilikuwa nawahi kuziweka dawa nimeelewa miaka hii jinsi ya kuzitreat nywele zikae sawaIla ukifuga mbona nywele unazo jamani. Hao aunts zao Kila wanachoambiwa kupaka wanapaka, ila nywele zimewagomea kabisa
Nywele nzuri!Helow,selfikeni basiiiiiView attachment 2216721
Kigamboni kule kuna sehemu hivi ya kishua pana hotel, swimming pool, yaan bembea hizo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapambana sana[emoji28]
Hiyo bembea iko wapi na me niende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha
kabisa ile Jackie Chain mbona akasome best!!
Zangu zikifika hapo naanza kuongea kihindi[emoji28][emoji28]Helow,selfikeni basiiiiiView attachment 2216721
Aah oky wizoooNafuga wifi, na zina kaurefu ka kuwatamanisha tu aunts zangu. I guess napenda kusuka sana kuliko kuziachia
Hujaona za mama mchungaji HS aaauuwwwwww!!! ndefuuuuu afu nyeussssiii!!😘Zangu zikifika hapo naanza kuongea kihindi[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Utatuma humuuu hadi baas, ndo km mie naweza beba nguo nyingi kwa begi, nikifka pale nabadili tyuu nguo na mapozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We coca tukikaa pamoja ni tatizo,tunafanana kwenye hii hobby aisee![emoji3]
Kesho naenda zangu location na nguo kadhaa,nipige picha mpk basi
finally 😘♥️♥️♥️
[emoji23][emoji23][emoji23]Nishapata MC wa harusi yangu bado bwana harusi sasa
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nyweleeee, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Helow,selfikeni basiiiiiView attachment 2216721
Zangu zikifika hapo naanza kuongea kihindi[emoji28][emoji28]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Leo nimekunyaka mrembooooh. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
🥰🥰finally 😘♥️♥️♥️
Nimejifunza kwako eti 😂😂Nimecheka kwa nguvu 🤣🤣🙈
Hizo tabia nawe umeanza lini?
Jack Palladino 😂😂😂😂😂😂😂Jamani humu ndani karibuni kwenye party
It's my babe's birthday jamani[emoji2960]
The most handsome man in the world is born today[emoji7]
Hbd my sweetheart,my heartbeat,my honey,my soulmate[emoji8][emoji173] Jack Palladino
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
❤️❤️Leo nimekunyaka mrembooooh. [emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]