Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yaani wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbavu zangu daah[emoji28][emoji28]

Natumai hukuanguka baada ya kufotolewa
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hapo sasa afu ilikua inalegea, ndo camera man akawa ananielekeza.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimechekaaa
Nimetoka hapo, camera man ananambia ila wee mtu utakuja ufie location. Yaan mie location huniambii kitu.

Kuna sehemu hivi tulikuta iko bembea ya ringi km wimbo wa vanessa mdee cash madame, pale lazima nikajifotoe, ngoja nikusanye pesa kwan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom