Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimetoka hapo, camera man ananambia ila wee mtu utakuja ufie location. Yaan mie location huniambii kitu.

Kuna sehemu hivi tulikuta iko bembea ya ringi km wimbo wa vanessa mdee cash madame, pale lazima nikajifotoe, ngoja nikusanye pesa kwan.
Hivi huwa mnaenda location unamlipia then unapiga picha. It means na photographer unamlipa pia akufuate location, au?
 
Shangazi karibu lunch asaa 😁😁
11B5D8E9-FF17-4B0A-ABE1-E782E13995BF.jpeg
 
Nimetoka hapo, camera man ananambia ila wee mtu utakuja ufie location. Yaan mie location huniambii kitu.

Kuna sehemu hivi tulikuta iko bembea ya ringi km wimbo wa vanessa mdee cash madame, pale lazima nikajifotoe, ngoja nikusanye pesa kwan.
We coca tukikaa pamoja ni tatizo,tunafanana kwenye hii hobby aisee!
Kesho naenda zangu location na nguo kadhaa,nipige picha mpk basi
 
Nishawahi pitia situation zote kukatika nywele kukata kwa kukusudia na kuweka dawa na sijawahi kuzifuga zikafika 2 yrs kabla sijakata sema sinanywele nying za asili kwetu hamnakitu Ila atleast naelewa pia napenda kushauri kwa wanaopenda
Niliweka dawa then nikakataView attachment 2216718View attachment 2216719

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ila ukifuga mbona nywele unazo jamani. Hao aunts zao Kila wanachoambiwa kupaka wanapaka, ila nywele zimewagomea kabisa
 
Back
Top Bottom