Kweli kichwa changu kinafanya kazi, yaan nimekariri fasta no, na nimeingza. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wahuni sio watuNyie endeleeni tu, naona kuna namna mnamshawishi Saint Anne aanze mechi za wakubwa sasa[emoji1787][emoji1787]
Sina hata moja mchumbaUna bia ngapi hapo?
Nshainyaka kitambooooh. [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]Kalamu na karatasi pia huna?[emoji28]
Hahaaa uko vizuriNshainyaka kitambooooh. [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23]
Tusiandikie mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimevaa hadi raizoni..
Scandinavia juzi tuu
Nakuta mentions kumikumi nikajua umeacha uchoyo, kumbe unatupooza na vocha. Ubarikiwe sana Mr vocha
Tusiandikie mate
Weka picha ukiwa umeitinga [emoji1787]
Hahaha wewe mtoto ni mbayaaaaa😂😂Duh
Utadhani najua sasa rangi [emoji1787]
Wa ushuani hatuna shida na rangi..hata tukiweka za CCM zinakaa tu.
Shida ni vile Vistoo vyenu vinachagua rangi mno na Kuta zenu za rangi mbili kama wa Heaven Sent [emoji1787][emoji2096][emoji2096][emoji2096]
Shangazi nilikuwa nimeshatoka kanisani hapo, ngoja nifanye maarifaBaadae simama tuone mshono vizuri please
Kiatu ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Nafikiri mtu anae kuzaliwa wa kumuheshimu sana ( kwa ufupi mwanamke yoyote wa kuheshimiwa sana awe amekuzaa au hajakuzaa ) wanapitia mengi , kwa ambao tupo sensitive hizi story zenu kama maumivu nayaona mwilini mwangu. Hadi nime skip 🤦♂️.. wengine tukiona mtu anapigwa sindano au ana maumivu , inakuwa akama yanahamia kwangu najikuta na feel the same na muhusikaAsante mkuu
muwaheshimu na kuwapenda sana mama zenu kwakweli!
Kweli dear ni kushukuru MunguUkijifungua Ukawa salama ni kushukuru sana mungu...kuna jirani hapa nikama amepararaizi mpaka leo .. ni baada ya kujifungua tu!!
Nafikiri mtu anae kuzaliwa wa kumuheshimu sana ( kwa ufupi mwanamke yoyote wa kuheshimiwa sana awe amekuzaa au hajakuzaa ) wanapitia mengi , kwa ambao tupo sensitive hizi story zenu kama maumivu nayaona mwilini mwangu. Hadi nime skip 🤦♂️.. wengine tukiona mtu anapigwa sindano au ana maumivu , inakuwa akama yanahamia kwangu najikuta na feel the same na muhusika
Shangazi nilikuwa nimeshatoka kanisani hapo, ngoja nifanye maarifa
Mungu akubariki...Mjep shukrani sana mkuu umeniona venye natuna hapa leo Nimepata vocha yako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]!View attachment 2216697
Mm nitakuwa sio mtanzania mitandao yote imenipita looh[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nilivo zoom zikajaa kwa kichwa faster ku scroll tyuuh.Hahaaa uko vizuri
Mungu akubariki...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]