Strawbella
JF-Expert Member
- Mar 24, 2021
- 1,758
- 5,803
Aiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Mimi ndio huwa namwambia mama kuwa hivi ungeahirisha kunizaa sijui ingekuwaje!mama anacheka.
Maana mimi ni mtoto wa uzeeni aisee
Aisee acha kabisa [emoji16][emoji16]nikikumbuka nacheka sanaAiseee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nyie haya bhanaSasa mdogo wetu wewe si wa elfu 2 na 5
[emoji1787][emoji1787][emoji2089]Nipo nasotea na mimi hizo homa
Mimi mtindi unajaa unakuwa kama umeganda[emoji19]
Tuendelee kuchukua notes
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.
Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]
Kuweni na adabu nyie watu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee mie nakuzaaa huku nimesimama,. Yaan napush na kumdaka mtoto mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787]Tena unaonekana wewe kigagu mnoko hatari[emoji2][emoji2]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2302][emoji2302][emoji23][emoji23]
Leo siku ya akina mamaNyie acheni hizi mada khaaaah
[emoji23][emoji23]Sasa mdogo wetu wewe si wa elfu 2 na 5
Nimeshakuja mie hapa.Ndugu zangu wana selfika
Njooni sasa tugawane umesikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo siku ya akina mama
Acha tujimwayemwaye
Duh ni hatari[emoji24][emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Huyu dada akawa anatuhadithia,wifi yake alibeba Tena mimba mtoto akiwa na miezi 6 ananyonya.
Alijifungua Kwa kisu.
Alipobeba hiyo mimba wakamwambia wewe inabidi uwahi tu kabla hata ya siku tukupasue....Cha moto alikiona..kidonda kibichii kinafumuliwa Tena uwii[emoji3064]
Scroll huko juu
Ndio unakomaa kusukuma lasivo unaua Mtoto weeee! Wakwanza nilijifungua kawaida sema nilikua nishapewa mbinu na marafiki... nilifumba mdomo nikashika/finya godoro mara kitanda huku nimefumba mdogo nagugumia ndani kwa ndani ...vile unavofumba nakugugumia ndani huku unavuta godoro kwanguvu inakusaidia kupush mtoto! Lakini uukiachia lazima upige makelele nguvu ya kupush inakua ndogo unaeza kaa muda mrefu![emoji3064][emoji3064][emoji3064] uwiii
Kwahiyo hadi mtoto anatoka[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Heee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanangu mwingine wewe...[emoji2][emoji2][emoji2]
Uniite mama
Mm sitaki umesikini wako [emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu zangu wana selfika
Njooni sasa tugawane umesikini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itafahamika hapo hapo.
Naskia nurses wanakua na nyodooo, lol.
Khaaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji23][emoji119]eti wauaneAisee acha kabisa [emoji16][emoji16]nikikumbuka nacheka sana
Tulikuwa hatujapishan Sana na dogo tulikuwa tunapigana balaa yeye mkorofi mm nilikuwa kimya mno alafu huruma Sana lkn akiamua tupigane atakuchokoza Hadi mpigane [emoji28]
Na mkipigana mama anasema waacheni wauane ndugu hao msiwaingilie [emoji23][emoji23][emoji23]watu wanajaa nakumbuka tuliwah pigana nikabaki na bukta
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app